Margaret Kenyatta avutia wengi kwa mtindo wake wa mavazi Mashujaa Day
-Mama wa Taifa Margaret Kenyatta alivutia wengi wakati wa hafla ya mashujaa Bustani ya Uhuru Park -Magaret alizungumziwa sana mitandaoni kutokana na alivyokaa na mtindo wake wa mavazi Siku ya mashujaa 2017 Uhuru Park Ijumaa, Oktoba 20, haikuwa na mambo mengi kutokana na kuwa Rais Uhuru Kenyatta alitoa hotuba ya kawaida tu, na kuwashukuru mashujaa