- Wasichana kati ya umri wa miaka 19 na 23 wameripotiwa kufanya biashara ya ngono jijini Nairobi ambapo wanakodisha nyumba na kisha wanazifanya kuwa madanguro
- Wasichana hao hujitangaza kwenye mitandao ya kijamii na huduma wanazopatiana kwa wateja wao
- Huwa wanawalenga sana wanaume wenye hela na ambao pia wameoa kwa kuchapisha picha zinazowaonyesha uchi wao mitandaoni
- Inasemekana wao hufanyia biashara hizo katika madanguro kadhaa ambayo yamo katika mitaa ya Ruaka, Ngara, Roysambu na Kahawa Sukari.
- Huduma zao ni masaji ya mwili kisha baadaye kushiriki ngono ambapo wanalipisha wateja wao kati ya KSh 5,000 hadi KSh 9,000 kwa muda wa saa moja
Asilimia kubwa ya wanawake jijini Nairobi wameamua kutafuta pesa kupitia njia za mkato zikiwemo za kufanya biashara ya ngono.
Habari Nyingine : Historia ya wasomi 2 maarufu 'walioshindwa' kujifunza kuendesha gari
TUKO.co.ke iliweza kubaini kwamba wanawake wengi hasa wanafunzi wa vyuo vikuu kati ya umri wa miaka 19 na 23 wameamua kushiriki katika ukahaba na wanajitangaza hadharani kwenye mitandao ya kijamii.
Kulingana na upekuzi uliofanywa na mwanahabari wa TUKO.co.ke, mitaa ya Ruaka, Roysambu, Kiambu na Kahawa Sukari ni maeneo ambayo wanafunzi wengi wamekodisha nyumba na kuzigeuza kuwa madanguro ambamo wanafanyia ukahaba.
Tuma neno ‘NEWS’ kwa 40227 ili kupata habari muhimu pindi zinapochipuka
Habari Nyingine : Picha ya sosholaiti Mtanzania akipapasa sehemu nyeti ya mwanaume yazua hisia mseto
Wao hupiga picha wakiwa nusu uchi na kuzichapisha mitandaoni, lengo lao kuu ni kuwanaswa wanaume ambao wameoa na wako na hela.
La kushangaza wengi wao huweka nambari zao za simu mitandaoni na kutaja huduma ambazo wanapatiana kwa wateja wao ikiwemo masaji ya mwili ambapo wanalipisha kutoka KSh 5,000 hadi KSh 9,000 kwa muda wa saa moja.
Akijifanya kuwa mmoja wa wateja, mwanahabari mpekuzi wa TUKO.co.ke aliyezuru ukurasa wa mwanafunzi mmoja wa chuo kikuu cha Nairobi, alifichua kwamba yeye hupatiana huduma bora zaidi na huwa analipisha dolla 77 ( KSh 8,000).
Habari Nyingine : Bosi wa benki maarufu aanikwa kwa kumpokonya gavana mke
" Hello, niliona nambari yako ya simu kwenye tuvuti fulani na nikawa nina hamu ya kuhudumiwa, unalipisha pesa ngapi na naweza kupata vipi?, Mwanahabari wa TUKO.co.ke aliuza.
" Niko mtaani Kabete na huwa napigiwa tu simu hakuna kutuma ujumbe mfupi, bei ni ile ambayo umeiona kwenye mtandao," Msichana huyo alijibu.
Baada ya majadiliano , Candy kama alivyojitambulisha alikubali kufanya masaji ya mwili kwa KSh 5,000 kando na KSh 2,000 za teksi.
Habari Nyingine : Historia ya wasomi 2 maarufu 'walioshindwa' kujifunza kuendesha gari
Hii sio kisa cha pekee ila TUKO.co.ke ilibaini kuwa biashara hizi zinaendeshwa sana jijini Nairobi hasa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu .
Makala yaliofanya hivi majuzi na vyombo vya kimataifa vya habari yalionyesha kwamba wanafunzi wengi wa vyuo vikuu wanajiingiza katika ukahaba na kushiriki ngono na masponsa kwa nia ya kutaka kuwa na maisha ya kifahari.
Read: ENGLISH VERSION
Una taarifa motomoto au sakata ambayo ungependa tuichapishe? Wasiliana nasi kwa news@tuko.co.ke, mwangi.muraguri@tuko.co.ke ,kwenye WhatsApp: 0732482690 na kwenye Telegram: Tuko News
Tazama habari zaidi kutoka TUKO TV
Subscribe to watch new videosChanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2Bvzmeinmdibn54hZdmoaKmo556uK3Nmp2upqqeeritjK%2Bwrqddq7aswdRmrpqllZa6tq2MpKyfmZ6urm7Bx5qfmpqRYriqsMijoK2ZnJ57qcDMpQ%3D%3D