-Picha inayoendelea kuzunguka katika mitandao ya kijamii inaonyesha sebule la kifahari katika afisi za Joho
-Sebule hilo lina rangi ya kuvutia machi
-Tofauti na afisi zingine za serikali, wageni katika afisi yake huketi kwa ‘sofa set’ wakingoja kuhudumiwa
Gavana wa Mombasa Hassan Joho amefurahisha watumiaji wa mitandao baada ya picha ya sebule la wageni kuibuka.
Habari Nyingine: Rais Uhuru azua gumzo baada ya kuonekana na bunduki (picha)
Joho, aliye maarufu kwa mitindo yake amewaacha wengi kudodokwa na mate kutokana na mtindo wa sebule lake la wageni wa kuvutia sana.
Mtindo huo ni tofauti na afisi zingine za serikali. Wageni katika afisi yake huchukuliwa kama watu mashuhuri kulingana na lilivyo sebule hilo.
Pakua APP mpya ya TUKO upate habari BURE
Viti katika sebule hilo zinaonekana za kuliwaza, na kuna nafasi kubwa sebuleni humo, kumaanisha watu wanaweza ‘kupumua vyema’.
Hivi majuzi kulikuwa na mjadala mwingine kuhusu afisi ya Joho baada ya picha ya bendera moja ikiwa katika hali isiyo sawa kuibuka.
Habari Nyingine: Mtoto wa miaka 2 ampiga risasi babake na kumuua
Picha hiyo ilikasirisha baadhi ya watu waliosema Joho hakuheshimu bendera na taifa la Kenya.
Subscribe to watch new videosSubscribe to Tuko youtube channel to watch more interesting videos
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: mwangi.muraguri@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaoB4gpRmqp6apaGybrjAZq6an5Wjtm662K6km5mennquw8Bmoaign2Kurq7ApaZmpJmisrvBwGako5mUlrmiecykrJuvkWO1tbnL